Ushauri na Msaada wanajukwaa, nataka kubadilisha kozi niliyopangiwa

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
852
500
Nataka Kubadili Degree Programme,

Pindi Nitakapo Kwenda Kufanya Usajili, Nimechaguliwa Bachelor Of Philosophy With Education.

Nataka Nika Chukue BAED ,Je inawezekana?
au kuna athari zozote nikiacha au nikibadili.

Ushauri wowote nitaufanyia kazi.
Karibuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom