Kuna aliyekuwa na GPA chini ya 3.5 kapata chuo?

Kuna aliyekuwa na GPA chini ya 3.5 kapata chuo?

alvin101

Senior Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
106
Reaction score
107
Habari jaman walioomba nacte wakitokea diploma kuna yeyote ameshapata chuo lakni mwanzo hakuwa na GPA YA 3.5? Tujuzane jaman maana mm nlkuwa na 3.4 walposhusha nkawa na uhakika wa kupata chuo ila mpk sasa naona kmya cjapata nafasi na vyuo wameshatoa matokeo yao... Msaada plz
 
Ila km umeomba mavyuo ya complicated haya wengi wametemwa jaribu kuomba tena weka vyuo vya kawaida
 
Back
Top Bottom