Bodi ya mikopo na tuition fees

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Daaaah wadau imekaaje hii naona bodi ya mikopo ipo kimya wakati UDSM (Home of Vipanga) na SUA wazee wa Screen test (Hard science) wanafungua wiki hii na wiki ijayo respectively. Au gvt bado inahakiki? Hatuwaelewi ukimya wao?
 
UDSM home of wanoko. Ukienda kusoma pale master au PhD ndiyo utajua unoko wao.
 
Daaaah wadau imekaaje hii naona bodi ya mikopo ipo kimya wakati UDSM (Home of Vipanga) na SUA wazee wa Screen test (Hard science) wanafungua wiki hii na wiki ijayo respectively. Au gvt bado inahakiki? Hatuwaelewi ukimya wao?
UDSM ingekuwa ni home of vipanga basi hata kwenye rank ya vuo bora duniani ingeonekana lkn mmebaki kujifariji tu.Hakuna kitu pale bali mbwembwe.
 
subiri tu kuwa mpole ndugu hii nchi bhana kuvumilia tu,nenda chuo kaangalie na kajiandae pia ndo mana ukisoma j.instruction chuo wametoa tahadhari kuwa wale wanaotegemea heslb,kuwa mara nying wanachelewa kutoa pesa au allocations so jipange unavyoweza ila chuo muhimu kuwahi kufatilia mambo.piga moyo konde wote mkuu
 
UDSM ingekuwa ni home of vipanga basi hata kwenye rank ya vuo bora duniani ingeonekana lkn mmebaki kujifariji tu.Hakuna kitu pale bali mbwembwe.
back to topic,you are out of topic,keep calm na endlea na topic achana na masuala ya uvipanga hayo maneno tu mkuu hayana kitu so huwa yanakuepo tuu isikupe shida kutumia jazba katika suala hilo.hii ndo tz bhana
 
wanaJF msiwaze sana kuhusu hilo swala coz ukiingia olas.heslb.go.tz utapata ujumbe unaokwambia kwamba haukuomba mkopo kwa mwaka 2016/2017 but ukiingia kwenye hiyo hiyo site then uka click sehem wamekuambia wanaotakiwa kurekebisha taarifa muhimu jaza kwa usahihi kama s then school no then namb yako then mwaka wa kumaliza....... kukiwa na error kwenye form yako ya mkopo utaambiwa kwa mfano no gurrente ID na kama hakuna makosa utapata huu ujumbe
Fomu zenye Matatizo.
Enter your Form Four index Number Below.
Form Four Index No:

? ? ? ?

School Name : MOSHI TECHNICAL [ S0135 ]
Full Name : PATRICK, ALFRED D
Your Loan Application form is Complete, No Ploblems were found.

mpaka hapo utajua kwamba umeomba mkopo kwa usahihi na kilichobaki unasubiria tu umepewa asilimia ngapi......................AHSANTENIII.....
 
Na inakuwaje form haina makosa kabisa na wala jina lako halikuwa kwenye ile list lakini unaambiwa " did not apply for higher education students loans board 2016/2017"
 
nop iyo ni system error hata mm tcu walinambia am nat selected first round wakat nlikuwa nlikuwa selected... so it seemz thatz system error na kama ww haukuona jina lako kwenye waliokosea kujaza form usiwaze yanii no way..no how ..lazma upate..mkopo...AHSANTE
 
si ule ukipanga wako
Nnajua mliochaguliwa vyuo vya kikanjanja lazima povu lifuke. Mnapelekwa kusoma mmekalia kuchati tuuu face inst jamii forums ndo matokeo yake mnapelekwa huko kwenye vyuo vyenu vya pre entry
 
wanaJF msiwaze sana kuhusu hilo swala coz ukiingia olas.heslb.go.tz utapata ujumbe unaokwambia kwamba haukuomba mkopo kwa mwaka 2016/2017 but ukiingia kwenye hiyo hiyo site then uka click sehem wamekuambia wanaotakiwa kurekebisha taarifa muhimu jaza kwa usahihi kama s then school no then namb yako then mwaka wa kumaliza....... kukiwa na error kwenye form yako ya mkopo utaambiwa kwa mfano no gurrente ID na kama hakuna makosa utapata huu ujumbe
Fomu zenye Matatizo.
Enter your Form Four index Number Below.
Form Four Index No:

? ? ? ?

School Name : MOSHI TECHNICAL [ S0135 ]
Full Name : PATRICK, ALFRED D
Your Loan Application form is Complete, No Ploblems were found.

mpaka hapo utajua kwamba umeomba mkopo kwa usahihi na kilichobaki unasubiria tu umepewa asilimia ngapi......................AHSANTENIII.....
wanaJF msiwaze sana kuhusu hilo swala coz ukiingia olas.heslb.go.tz utapata ujumbe unaokwambia kwamba haukuomba mkopo kwa mwaka 2016/2017 but ukiingia kwenye hiyo hiyo site then uka click sehem wamekuambia wanaotakiwa kurekebisha taarifa muhimu jaza kwa usahihi kama s then school no then namb yako then mwaka wa kumaliza....... kukiwa na error kwenye form yako ya mkopo utaambiwa kwa mfano no gurrente ID na kama hakuna makosa utapata huu ujumbe
Fomu zenye Matatizo.
Enter your Form Four index Number Below.
Form Four Index No:

? ? ? ?

School Name : MOSHI TECHNICAL [ S0135 ]
Full Name : PATRICK, ALFRED D
Your Loan Application form is Complete, No Ploblems were found.

mpaka hapo utajua kwamba umeomba mkopo kwa usahihi na kilichobaki unasubiria tu umepewa asilimia ngapi......................AHSANTENIII.....
Ongo sana wewe
 
Nnajua mliochaguliwa vyuo vya kikanjanja lazima povu lifuke. Mnapelekwa kusoma mmekalia kuchati tuuu face inst jamii forums ndo matokeo yake mnapelekwa huko kwenye vyuo vyenu vya pre entry
Wakati unawaponda waliochaguliwa vyuo unavyoviita vya ukanjanja usisahau kuwa juhudi pekee ndio itakayokutoa kwenye SUP na siyo jina wala ukubwa wa chuo kama akili yako unavyokutuma kuwaza.Unadai wengine wako kwenye insta na JF afu unasahau kuwa Na ww ni mwanachama hai wa JF.sijui umewezaje kuchangia hoja kama hujaingia mtandaoni.Acha majivuno kijana.Juhudi yako pekee ndiyo itakufanya ufaulu Na katu si ukubwa au udogo wa chuo.
 
Kijana usiwe na haraka nakumbuka sisi mwaka jana tulifika vyuoni tukarubuniwa kua tukilipa loan result zikitoka mtu utakuja kurudishiwa pesa yako ila kilichotokea baada ya hapo kama ulilipa ada ikazidi bas watakua wanakata juu kwa juu cha msingi nnachokushauri najua chuo huwa wanatoa muda flani wa registration like two weeks ndani ya wiki hizo mbili jaribu kua na subira mambo yatakaa sawa kama hauko vizuri kulipia at first maana huwez kufanya registration bila kuwapa pesa zao
 
Daaaah wadau imekaaje hii naona bodi ya mikopo ipo kimya wakati UDSM (Home of Vipanga) na SUA wazee wa Screen test (Hard science) wanafungua wiki hii na wiki ijayo respectively. Au gvt bado inahakiki? Hatuwaelewi ukimya wao?
Mikopo inatolewa Mara baada ya kuwasili chuo tena unaeza kaa chuo hata wiki mbili ndo mkopo utoke ,,,wakat huo ushalipa nusu ya ada ya chuo wakat unasubir mkopo,,, hii ndo Tz
 
Back
Top Bottom