Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomben mnisaidie kuhusian na hiki chuo maan tang nimepangiwa celew chochote nataka kuanza ngazi ya cheti
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani, sisi wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa RUCU kupitia Marian tumesumbuka sana toka mwezi wa nne hadi leo, hatujapata mkopo. Tuna vigezo vyote na tumekua tukihangaika kuja Dar kufatilia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wa JF family naomba kuelezwa kuhusu ulipaji wa hostel km Heslb wanahusika au hapna,maana cc wa mabbo tunatakiwa kulipa 73k,je mkopo ukitoka hyo hela inakuwepo au hapana,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, TCU wameruhusu maombi ya mara ya tatu ikiwa bado baadhi ya vyuo mfano Mzumbe Mbeya, NIT hawajatoa majina ya second round. Je, kwa walio na taarifa profile ya mtu anayetakiwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
msaada plz nataka kuomba 3rd round ila account haifunguki nikipiga simu tcu haipokelewi
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Poleni sana wadogo zangu na kipindi hiki kigumu kwenu katika kufuatilia mustakabali wa elimu yenu ya chuo kikuu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba jitahidini kadri ya uwezo wenu kutafuta elimu bora...
7 Reactions
138 Replies
19K Views
Habari, naomba msaada kwenye Ku apply kidogo, Mimi nlianza kuomba tangu awamu ya kwanza Ila sijawahi kupata Wala nafasi kwenye faculty nlizo omba hazijawahi kujaaa mpaka leo pia Nina division 2...
0 Reactions
6 Replies
930 Views
Wakuu! naomba KWA ANAELEWA anisaidie mchanganuo wa hii kitu Masters by "Thesis , coursework and dissertation" pale Open University of Tanzania. Na vipi gahrama zao kwa DST (Distance Learnig), na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vp inakuaje kwenye university guidebook ada ya chuo iliyoweka itofautiane na ada inayotozwa mahali husika. Mfano AMUCTA kwenye guidebook ya TCU kozi ya BAED ada ni laki950 ila kwenye fees...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wadau ndani ya jf, kama title inavyojieleza naomba msaada wa ufafanuzi juu ya tofauti ya njia/namna nilizoziandika hapo juu kuhusu usomaji wa shahada ya pili. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za humu wakuu??, naomba kuuliza kwa wenye ufahamu kuhusu Bachelor of eng in COMPUTER kwa pale DIT kama kuna evening classess. aksanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, Naombeni ushauri kuhusu course ya pharmaceutical science maana kuna watu wengi baadhi wanasema ni course ambayo hainaga dili kabisa wanadai bora kusomea ualimu tu na sio hii...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina mtt wangu wa kike pale nyumbani Mwenge na anasoma day ,naomba kwa mwalimu ambaye tunaweza kuelewana malipo ya mwezi ani PIN Sifa Mwalimu mwenye sifa angalau katika masomo 3 Muda masaa 3...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
habari zenu wakuu!!! nashindwa kuelewa hiki chuo kina sifa zote kinachopewa? mpaka sasa wahitimu wake(diploma) wa kozi za civil, mining na laboratory technology hawaoni matokeo yao kwenye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekamilisha zoezi la kurekebisha fomu za maombi ya mikopo kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Zoezi hilo lilianza tarehe 3 na...
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Jaman ardhi hawajatoa second round?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeandikiwa ivi inamaanisha nini wadau, nimemaliza diploma na GPA ya 3.4
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Majina ya walio chaguliwa kujiunga na dit 2016/2017
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom