Kila chuo kina utaratibu wake wengne ni wavumilivu... yaani wanaweza subir mpk upate mkopo lkn wengne lzm utoe...wakuu,
hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hv karibun lakin mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata.
ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubir mkopo.
asante kwa ushaur wakoKila chuo kina utaratibu wake wengne ni wavumilivu... yaani wanaweza subir mpk upate mkopo lkn wengne lzm utoe...
.
.
Na ukipata mkopo kukurudishia ni process sana.... na uchukua muda
.
.
Cha umuhimu ulizia utaratibu wa chuo chenu kwa kudownload admission letter
Chuo gani iko??asante kwa ushaur wako
ila mkuu,
admission latter wameandia amount ya ada tu pa1 na ac namba. hawajaandika kama unalipa yote au nusu.
Hua unatakiwa kulipa 60% ya ada lakini mdogo wangu kama huna hela bora usilipe usubiri kujua hatima ya mkopo kwanza ili kama hujapata ulipe hizo asilimia kisha upostpone mpaka next yearwakuu,
hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hv karibun lakin mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata.
ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubir mkopo.
asanteni kwa ushaur wenu
nafasi yako anapewa mtu mwingineje ukishindwa k
ulipa inakuaje masomo inakuwa mwisho au kuna namna nyingine