KCMU hakitoi degree??

KCMU hakitoi degree??

Tumeomba hichi chuo kwa degree za Afya kwanini hadi leo vyuo vyote tayari majina isipokuwakuwa chuo hichi au ndio wamegairi kutoa mafunzo ya degree za Afya?? kule kwenye Website yao kuna majina ya Diploma tu. kwanini walitudanganya??

Naomba kuwasilisha.
Ndo chuo gani hicho
 
Kwel kwenye website zao hakuna kitu afu tcu imetoka third round ya application sasa watu wako njia panda mana kcmc hawajatoa majina so haijulikan wamekosa wapply third round au vip
 
Kwel kwenye website zao hakuna kitu afu tcu imetoka third round ya application sasa watu wako njia panda mana kcmc hawajatoa majina so haijulikan wamekosa wapply third round au vip
Kalime tu mwaka huu....'
 
Kcmuco wametoa ila Koz nyingine bado hawajatoa majina ya wanafunz wametoa majina ya baadh ya degree
 
Back
Top Bottom