Nimechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical officer

Naftari Erasto

Senior Member
Jul 22, 2016
108
50
Nimechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical officer Lindi lakini sijapewa tarehe ya kuripoti kwa anayejua tafadhali naomba msaada
 
Jamani naombeni msaada kuna dogo ana ufaulu huu civs -D , history-D geogr-C kiswahili...B english...B liter....C phys....F chemis ...D bilogy...C math- F lakini nilimjazia diploma level 6 in primary education ( pre service ) lakini hajachaguliwa tatizo ni nini ?
 
hilo janga limewakuta weng mm mdogo wang matokeo ya o'level hist c, engl c, maths d, motor vehicle mechanics d, liter d, kisw f na civcs f
pia ametumia chet cha nta level4 kwa kuomba diploma
ila ngoja j3 ntaenda kufatilia nacte niwaulize wametumia kigezo gan?
 
Diploma huwezi pata kama amefauru masomo ya sayansi anaweza fanya diploma za afya,lakini kwa hiyo ya education sio rahisi aanze na technical certificate,kwenye guide book walitoa maelekezo.
 
Jamani naombeni msaada kuna dogo ana ufaulu huu civs -D , history-D geogr-C kiswahili...B english...B liter....C phys....F chemis ...D bilogy...C math- F lakini nilimjazia diploma level 6 in primary education ( pre service ) lakini hajachaguliwa tatizo ni nini ?
uliomba vyuo gan mkuu?
 
Nimechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical officer Lindi lakini sijapewa tarehe ya kuripoti kwa anayejua tafadhali naomba msaada

Naomba unijulishe umechaguliwa kwa ngazi gani, na matokeo yako.

Usihofu nataka kulinganisha vitu fulani!
 
Naomba unijulishe umechaguliwa kwa ngazi gani, na matokeo yako.

Usihofu nataka kulinganisha vitu fulani!
Nimechaguliwa kusoma diploma ya clinical medicine na matokeo yangu ni
Civ-D Hist-C Geog-C Kisw-C Eng-B Phys-C Chem-B Bios-B MathD
Kama sikosei itakuwa hivyo au pitia hapa
P0912/0039 matokeo ya 2015
 
Ipi coz nzr ambazo nkisoma iko kwa soko
-Clinical medicine
-phamarceutical science
-medical lab science

Naomba msaada wenu
 
Ipi coz nzr ambazo nkisoma iko kwa soko
-Clinical medicine
-phamarceutical science
-medical lab science

Naomba msaada wenu
Kama unampango wa kuishia diploma au barchelor ni bora usome medical laboratory au pharmaceutical science lakini kama una ndoto za kuja kujiendeleza na elimu ya juu zaidi nikimaanisha kuspecialize kasome clinical medicine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom