Kwako Waziri wa Elimu!
Chuo Kikuu hiki ni jipu lililoiva sana na sasa linaelekea kuoza. Naomba please ukitembelee chuo hiki maana kina madudu kibao. Uongozi ni tatizo kubwa sana hapa.
Habari zenu wana jf,mm ni kijana na nimesomea cert ya procurement&supply na nina kipaji cha utangazaji ila bado naendelea na diploma ya procuremnt,ila nimepata nafasi yakusoma course fupi ya...
Habari zenu,
Naombeni msaada wa mawazo mdogo wangu kafaulu na alipata division 1. kajaza vyuo na majibu yalipo toka ilionesha amechaguliwa KUJIUNGA NA CHUO CHA MUST . Ambacho alijaza architecture...
Wapendwa naomba namba za simu za TCU zinazopolewa, zile za kwenye website yao hazipokelewi. Profile yangu imefungwa chuo nimekosa napiga simu hawapokei.
Nimehitimu chuo cha Ushirika ( MUCCoBS) mwaka 2012 BAF na sasa ni mwajiriwa wa Serikali.
Niulize swali lolote nitakujibu na kama kuna waliosoma MUCCoBS tutasaidiana kujibu maswali yenu.
Karibuni
Wakubwa habari zenu, naomba kuuliza kama chuo cha IFM wametoa majina ya walioomba mara ya pili maana kila nikicheki nakuta wameandika 1st batch ila kila nikiuliza naambiwa tayari
Niliapply diploma second round kupitia nacte, baada ya muda nikaambiwa nimechaguliwa SUA.
Jana SUA imetoa majina ya waliochaguliwa second round huku jina langu likiwa halipo.
Je nitakuwa nimekosa...
Jamani wapendwa naombeni munisaidie kufahamu zaidi kuhusu ajira za computer science and engineering kwa hapa Tanzania na nje za nchi naomba ujuzi pia nimepangiwa kusoma hiyo facuty, je nikasome...
Heshima kwenu wadau, naomba kujua kwa yeyote anaeifahamu shule hiyo ya Sec Uparo anipe wasifu wake kidogo, ipo sehemu gani, je ipo karibu na kisenta chochote au ni ndani ndani, mandhari yake...
Chonde chonde walimu naona technolojia hii sasa itatutoa ktk ethics za ualimu.
Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo.
Walimu wamerecord na kuirusha hewani...
Wapendwa;
Nawasalimu nyote ::
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni "Kutaka kufahamiana na kupeana taarifa mbali mbali kwa wanafunz waliochaguliwa chuo kikuu cha bugando 2016/2017
Nimeona ni jambo jema...
1.Nilitaka kufaahamu je kwa mtu ambae ni mtumishi wa serikali Ambae ulikuwa unasoma chuo na afu alikuwa mnufaika wa mkopo wa ELIMU YA JUU sasa akatokea AMEDISCONUE kuendelea na chuo je anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.