eti Muccobs nusu ya wanafunzi ni waathirika wa vvu.aka watoto wa mama kikwete
Kaka hebu tupe michanganuo ya degree programs za hapo na markets pliability zake huku uraiani, ili vijana wakifanya selection wasije kujilaumu....
Nimehitimu chuo cha Ushirika ( MUCCoBS) mwaka 2012 BAF na sasa ni mwajiriwa wa Serikali.
Niulize swali lolote nitakujibu na kama kuna waliosoma MUCCoBS tutasaidiana kujibu maswali yenu.
Karibuni
wewe ulisoma stream gani hapo muccobs ?
Ni BA-AF na sio BAF
Eti MUCCOBS ni SUA?
Muccobs ndio uozo gani?