Msaada: Namba za TCU zinazopokelewa

daniel enocy

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
380
413
Wapendwa naomba namba za simu za TCU zinazopolewa, zile za kwenye website yao hazipokelewi. Profile yangu imefungwa chuo nimekosa napiga simu hawapokei.
 
Aisee kama unaweza nenda ofisi yao maana simu huwa hawapokei na kama uko mbali mtume hata jamaa yako aende
 
Wapendwa naomba namba za simu za TCU zinazopolewa, zile za kwenye website yao hazipokelewi. Profile yangu imefungwa chuo nimekosa napiga simu hawapokei.
Yaani ile inatakiwa ufanye kama Ajira.Piga non stop kwa siku nzima hasa hiyo ya airtel au kama una mtu aliyepo DSM muombe akusaidie.Usichoke kupiga
 
Aisee bora uende mi nilipiga sana bila mafanikio nikaamua niende tu
 
Back
Top Bottom