justinlutumo
Member
- Aug 13, 2016
- 9
- 0
Jamani wapendwa naombeni munisaidie kufahamu zaidi kuhusu ajira za computer science and engineering kwa hapa Tanzania na nje za nchi naomba ujuzi pia nimepangiwa kusoma hiyo facuty, je nikasome au nisisome
Umechaguliwa ipii sasa kati ya computer science na computer engneeringAya bwana but bro ushauli wako ni nn? Kuhusu hapo??
Sawa kakaUmeandika ovyo sanaa..
Anyway kmaa uliomba mwenyewe kwanini usisome na ukiambiwa usiende kusoma utafanya nini mtaani...
kapige shule kijana mambo ya ajira ukimaliza..
Jamaaan wapendwa naomben munisaidie kufahamu zaidi kuhusu ajika za computer science and engineering kwa hapa Tanzania na nje za nchi naomba ujuz pia nimepangiwa kusoma hy fact he nikasome au nisisome
Yaan iyo kozi wameiunganisha kama inavyo onekana kwny screen shotUmechaguliwa ipii sasa kati ya computer science na computer engneering
Tulia acha kuwa na haraka unachanganya vitu havielewekiYaan iyo kozi wameiunganisha kama inavyo onekana kwny screen shotView attachment 415830