Walimu hakuna namna nyingine ya kuwaadhibu wanafunzi mpaka muweke ktk mitandao?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Chonde chonde walimu naona technolojia hii sasa itatutoa ktk ethics za ualimu.

Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo.

Walimu wamerecord na kuirusha hewani.

Ni majibu kwa ile ya Mbeya au?
 
Attachments

  • VIDEO_ WANAFUNZI HAWA WANAVUTA BANGI NA KUNYWA VIROBA SHULENI.mp4
    4.7 MB · Views: 26
Watu mliwaponda Sana walimu sasa angalieni wanachokifanya af utegemee mwanafunz kama huyo atamsikiliza mwalimu matokeo yake ni ubishi tu na kujifanya mbabe mwsho wa siku kutokea kile cha mbeya mi ninavyojua mwanafunz hawezi kupigwa kiasi kile kama hakuwa mbishi kupokea adhabu aliostahili
 
Kile kipigo cha Mbeya si cha Mwl kwa mwanafunzi ndo shida hata kama mwanafunzi alikuwa mbishi au jeuri ndo shida kwa wale Walimu ilikojitokeza.
 
Chonde chonde walimu naona technolojia hii sasa itatutoa ktk ethics za ualimu.

Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo.

Walimu wamerecord na kuirusha hewani.

Ni majibu kwa ile ya Mbeya au?
Kwaio walimu waalim ndio wanafaa kuwekwa mtandaoni
 
Kwaio walimu waalim ndio wanafaa kuwekwa mtandaoni
Walioweka record clips zote mbili hii na ile ya Mbeya ni Walimu na waliopost ktk mitandao ni walimu na ndo maana nimeshtuka.suala la kwanza kurecord matukio shuleni ni Waraka upi wa Utumishi wa Umma unatumika.
 
Mwalimu na mzazi tofauti yao ni kidogo sana ,baba amekuzaa mwalimu anakutengenezea maisha! ukimdharau mwalimu umewadharau miongoni mwa wadau muhimu sana wamaisha yako
 
... Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo...
Mbona hao watoto wazima! Hapo ilibidi wanaoneshwa wameshachakaa... Maana bhangi zimewazidi, halafu akina Msigwa mnaishia kuwasema tu. Mitoto ya siku hizi ndo inavohitaji kuendeshwa. BTW asante kwa hiyo clip, serikali pendwa haina muda wa kutoa tamko, nchi hii malaika ni mwalimu na wengine wote ni binadamu hua wanakosea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom