Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kurudia mtihani kuna ugumu wowote na vipingamiz vyovyote ambavyo vitakufanya ucperform fresh je mnaushauri mtu kurudia mtihani kwa 4m 6 msaada kwa anaejua?
1 Reactions
0 Replies
430 Views
Hello, anayeelewa jinsi ya kuomba masters zinazotangazwa na nchi zilizoendelea anisaidie plzzz. vigezo vyote ninavyo kwa ajili ya masters 2017/2018 na nimeona application nyingi zinafungwa october.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
DIT hapa chini: Bonyeza hapa MUST hapa chini: Bonyeza hapa ATC hapo chini: Bonyeza hapa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naambiwa hivo cjui tatzo nini mimi
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mdogo wangu kachaguliwa hizo course mbili lakn vp kuhusu solo la ajira la environmental health scientists, wanaajiriwa direct serikalini au hadi nafasi itokee?
0 Reactions
19 Replies
8K Views
jiunge na whatsapp group kwa hii linkhttps://chat.whatsapp.com/CgTkH3TUAJr9KeByHlP5Yp
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanafunzi wa shule ya msingi Nakatete, iliyopo halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wanalazimika kusomea chini ya miti ya mikorosho kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa unaoikabili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wandugu! Naulizia kama selections za Bachelor pale DIT kwa mwaka huu zimeshatoka. Kwenye website yao hakuna, ila naona kuna watu wana info tayari. Mtu yeyote mwenye info juu ya selection...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
hostel za duce zilizopo mbagala zipo mzuka, wale wanaolilia mabibo wasubiri kufulia kwani pande hizo malaya wapo kibao!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu.... Ni matumaini yangu mu wazima na buheri wa afya kwa wale wagonjwa ugueni pole. Dukuduku langu ni juu ya watu wachache humu kwenye jukwaa la elimu, watu hawa hupenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MWANA JF UNAYESOMA HAPO TAFADHALI TAFADHALI NAOMBA TUWASILIANE....0753322359
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wakuu naomba msaada wenu kwa mwenye kukifahamu chuo cha Safina teachers college kilichopo kinondoni nawaomba mnisaidie website ya ikichuo,naombeni msaada wenu,, 0658831336
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kama SUa na UDOM wametoa second round?na KCMC vipi mbona hawajatoa hata first round?
2 Reactions
5 Replies
2K Views
ni hivi naomba kujulishwa wanajamvi hv wanafunzi waliokosa selection kidato cha tano hatima yao ni nn je serikali haitambui uwepo wao?? nashangaa inakuwaje mwanafunzi ana qualification zote lakin...
1 Reactions
1 Replies
724 Views
[http://www.mustnet.ac.tz/documents/Selected_Bachelor_Degree_Students_2016-17_Batch_1&2.pdf]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Kifupi ni kwamba mbali na mambo ambayo niliyosomea shuleni (mambo ya biashara kwa ujumla wake), natamani nipate ujuzi katika maeneo mengine kwa kujisomea/kujifunza mwenyewe...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya purukushani za muda mrefu hatimae NACTE wametoa selection status za diploma holder kua your provisionally selected to one of your choice so be kindly and wait...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani naombeni niulize eti mbona nikiingia kwenye akaunti yangu ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu inaandika did not apply for higher student loan for 2016/2017? Wakati nili apply tu vizuri na...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
kwanza nawapongeza form six leavers wote pcb na cbg waliofaulu vizuri mitiani yao ya taifa. lakini cha kushangaza, mpaka sasa wahitimu wengi wenye ufaulu kuanzia div2 pcb na baadhi ya div1 cbg...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom