ushauri wa kozi fupi

ushauri wa kozi fupi

be unique

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,381
Reaction score
2,293
Habari zenu wana jf,mm ni kijana na nimesomea cert ya procurement&supply na nina kipaji cha utangazaji ila bado naendelea na diploma ya procuremnt,ila nimepata nafasi yakusoma course fupi ya utangazaji wa radio&tv,je hyo course fupi itanisaidia japo kupata nafasi sehemu na kupata uzoefu zaid hata bila kulipwa?
 
Ndugu jua utangazaji ni Professional course. .

Watu wanasomea

Kwa kusomea short course za local zinazotambulika tanzania tu ni issue sana

Ushauri kwa wengine na kwako

Kama unasomea short course ya kitu find it in international level uwe certified. ...



Tukirudi kwenye ushauri unaotaka

Maisha yamebadilika kila mtu na bahati yake..
 
Back
Top Bottom