Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Stevenbee

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
365
Reaction score
449
Wana JF kwa yeyote anayejua chochote kuhusiana na hiki chuo anipe Dondoo hususani mazingira, taaluma, Burudani na accomodation hapo chuoni.
 
Dah Ngoja hakuna anaekijua hiki chuo atujuze jamani?
 
Kipo kigamboni,mazingira yake ni mazuri maana utainjoi upepo wa bahari kuhusu malazi chuo hakina hostel za kutosha ni kuwai kwako

NB:TUKUTANE KESHO CHUONI
 
Na litadumu mpaka November 18 sasa sielew izo taarfa umetoa wap?
 
Asante mkuu***kama unapanga kuna nyumba karibu na chuo au ndo mpaka usafiri?
 
Kipo kigamboni .ukishavuka kwenye pantoni nyosha moja kwa moja mpaka kalibu na stendi ya daladala zinazoenda maeneo mbalimbali ya kigamboni. Utaona kuna geti kubwa mkono wa kulia ukiwa unatokea kwenye pantoni pia kuna bango lao hapo utalikuta limeandikwa jina la chuo. Ukiingia nyosha moja kwa moja na barabara ya lami mpaka utakuta sehemu kuna njia panda kunja tena kulia ukinyoosha utaingia kambi ya jeshi ya navy. Utakuta kuna hostel mbalimbali nyengine inajengwa nyengine kongwe. Kwa vile wewe ni mgeni nenda mpaka administration block office yenu mnayofikia ni admission office ukiingia tu mlangon upande wa kushoto baada ya ubao wa matangazo. KARIBU SANA MWL NYERERE UKIPOTEA NITAFUTE.
 
Wana JF kwa yeyote anae jua chochote kuhusiana na hiki chuo anipe Dondoo hususani mazingira,taaluma,Burudani na accomodation hapo chuoni ....
Mazingira mazuri kwani kimezungukwa na bahari na kumetulia hakuna vulugu ila wahi upate chumba maana hostel chache.
 
Asante mkuu***kama unapanga kuna nyumba karibu na chuo au ndo mpaka usafiri?
Kwa first year wengi huwa wanapewa kipaumbele kukaa hostel.hivyo ukiwai kufika utapata uwakika zaidi. Dean of students ndo anashughulikia hili swala ni mama mmoja poa sana.
 
Back
Top Bottom