Jinsi itakavyokua kwa mwalimu ifikapo mwaka 2018

Jinsi itakavyokua kwa mwalimu ifikapo mwaka 2018

jonii jonii

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
70
Reaction score
39
*Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu*
*Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na Kijitabu Changu Cha Common Mistakes In English. Napishana Na Mwanafunzi Wangu Anavuta Bangi Namcheki Tu Halafu Napita Zangu.*

*Nafika Mbele Kidogo Nakutana Na Mabinti Wawili Ambao Nao Ni Wanafunzi Wangu Wa Kidato Cha 3 Mabinti Wamevaa Vimini Na Nyonyo Wame-busti Mpaka Zinafika Kwenye Kidevu.Napita Zangu Kimya Pasipo Kuwaongelesha*

*Nafika Shule Nawasabahi Walimu Wenzangu Staffroom,Nabeba Chaki Zangu Zakutosha Na Daftari Langu La Notes Naingia Darasani Nawasalimu Wanafunzi Wengine Hawatoi Salamu. Nakausha Napiga Zangu Pindi.Namaliza Nauliza Ambao Hawakufanya Zoezi Nililoacha Karibia Nusu Ya Darasa Nakuta Hawajafanya.Naagiza Waliofanya Wakusanye Na Baada Ya Kipindi Sioni Daftari Ofsini.*

*Namaliza Vipindi Vyangu Nasepa Kwenye Mishe zangu Zingine. Wiki 3 Zinapita Kila Nikitoa Zoezi WANAFUNZI Hawafanyi Na Mimi Nakausha Zangu*

*Daftari la Mahudhurio Kama Mwalimu Wa Darasa Nagundua Kuna WANAFUNZI Karibia 43 Hawajafika Shule Kwa Wiki3 Mfululizo, Nakausha Zangu Nawaweka ABSENTEES Naendelea Na Kazi Zangu*

*Wiki Ya MWISHO Wa Mwezi Napokea Kameseji Kangu Toka SIM BANKING KWAMBA KA-LAKI 5 KAMESOMA NASHUKURU MUNGU VIZURI TU*

Maisha Yanaendelea

*Malezi Ni Jukumu La Mzazi Wala Sio La Mwalimu.Tuache VIHEREHERE!*

*Mwanafunzi Hajanyoa Nywele Mwache, Kanyoa Kiduku Mwache, Kanyoa Panki Mwache, Kanyoa Kipanchonyo Mwache. Jifanye Kiherehere Uwakate Nywele Kinguvu Ndalichako Akushughulikie*
[emoji120]�[emoji120]�[emoji120]�[emoji120]�[emoji120]�[emoji120]�

[emoji125]�[emoji125]�[emoji125]�[emoji125]�[emoji125]�[emoji125]�

C&P
 
Uhalisia uko hivi, msomi siku zote anaongozwa na mwanasiasa, kuwa mwanasiasa si lazima uwe msomi, hawa vijana ambao leo hii wanapokosea tunawakingia vifua, kesho na kesho kutwa wamerap rap wakakubalika na jamii yao, ndio madiwani na wabunge wetu, ujanja ujanja wa maneno tu, hana ajualo ndio kiongozi tayari. Uhai wa taifa letu upo mikononi mwetu.
 
Hivi Ninavyoandika Pana Shule iliyopo Jirani Na Home Hapa Kuna Madogo Watatu Wa Kidato Cha Pili Wameingia Staff Room Na Kusepa na Mkoba Wa Mwalimu ambao Ndani Yake Muna PC (Laptop) na Hela Kama 1.5M...
Teacher Akishirikiana Na Principal wake ilibidi Waripoti Polisi Mara moja Ndiyo Hapo Madogo ikawabidi Waurudishe Mkoba...
Finally Walimu Walishindwa Kuwachukulia Hatua Yoyote Madogo Hao Kwa Kuongopa Kutumbuliwa...
Alichokifanya Ndalichako Kwa Wale Washkaji Kule Mbeya day Hakika Kimewapa Confidence Ya Uhakika Madogo Shuleni ya Kuweza Kufanya lolote.....
Shikamoo Ndalichako....
 
Nilikuwaga najiuliza saana zamani..! Kwamba Polisi anapata wapi hasira za kumkamata kibaka alieiba kuku ambae kuku huyo sio mali ya bw Afande? Afu unakuta kaka polisi anag'aka kweli? Na kipondo hevi anampa kibaka..blalifuli!

Sawasawa na mwalimu yaani mtoto sio wako wala huna interest zozote katika maisha incase akifanikiwa and from nowhere unang'aka na kumind dogo akitaka kuspoil maisha yake....! Hicho ni kiherehere!

Ulaya ndo kiboko ukimzingua mtoto anakupeleka mahakamani na kama nini unafungwa jela kila MTU ana haki ya kuamua hatma ya maisha yake.. We fundisha akidharau achana nae.

I wish ngekuwa mwl..watoto wangenipa tuzo ya Amani kama ya Nobel.

"They have their own life and you have to decides yours"
 
siasa nzuri.
ila ubaya wake ni pale unataka upendwe hata kama watu wanaangamia na hoja zako.

tunawaumiza waalimu kwa kupendwa na wanafunzi.

hivi ndalichako anawafahamu hawa vijana?????

time will tell
 
mlee mtoto katka njia ipasayo nae hataisahau hata atakapokuwa mzee




usimnyime mtoto mapigo mithali
 
Hivi Ninavyoandika Pana Shule iliyopo Jirani Na Home Hapa Kuna Madogo Watatu Wa Kidato Cha Pili Wameingia Staff Room Na Kusepa na Mkoba Wa Mwalimu ambao Ndani Yake Muna PC (Laptop) na Hela Kama 1.5M...
Teacher Akishirikiana Na Principal wake ilibidi Waripoti Polisi Mara moja Ndiyo Hapo Madogo ikawabidi Waurudishe Mkoba...
Finally Walimu Walishindwa Kuwachukulia Hatua Yoyote Madogo Hao Kwa Kuongopa Kutumbuliwa...
Alichokifanya Ndalichako Kwa Wale Washkaji Kule Mbeya day Hakika Kimewapa Confidence Ya Uhakika Madogo Shuleni ya Kuweza Kufanya lolote.....
Shikamoo Ndalichako....
Kuna vtoto chini ya miaka 16 vinaitwa TAIFA JIPYA vimekamatwa na polisi
Vnapora hapo dareslam balaa
 
mlee mtoto katka njia ipasayo nae hataisahau hata atakapokuwa mzee




usimnyime mtoto mapigo mithali
Atalelewa na wazazi wake na kipondo atapokea kutoka kwa wazazi wake.
 
Back
Top Bottom