MNIELEWESHE

MNIELEWESHE

Stevenbee

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
365
Reaction score
449
Ukiingia Olams ukaclick ile loan breakdown
Unaweza jaribu hata wewe ukalithibitisha swali langu
Ukishajaza vile vibox vyote bila ya kubonya mwishoni "Go" katika keyboard yako itaonyesha kuwa "YOU HAVE NOT ALLOCATED LOAD KATIKA BATCH 1"
Ila
ukifungua palepale na ukabofya "Go" katika keyboard yako itaonyesha umepata loan ila vile vibox juu vinakua blank

swali langu ipi ni sahihi
1)Ambayo nikiacha bila kubofya Go
2)au hii ninayo click Go??

mwenye uelewa
 
Back
Top Bottom