wasomi naomba msaada wenu. Nimechaguliwa kujiunga na degree ya socialogy lakini nahitaji kubadili nisome public relations(open university) inawezekana?
Habar wakuu poleni na uchovu wa kazi ni imani yangu nyote ni wazima
Mimi ni mwanafunzi kati ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU katika chuo kimoja hapa mjini kutokana na HESLB kunitenda najianda...
Wapendwa naomba kujuzwa kuna mwanafunzi amechaguliwa kujiunga na chuo Mkwawa..awali jina lake lilionekana kwa wanufaika wa mkopo kwenye batch ya kwanza lakin alipofika chuo baada ya kukamilisha...
Wakubwa Shikamoo, wadogo habari za saa hizi
Jamani naombeni ufafanuzi juu ya technician certificate NTA level 5 na diploma
mtu ukachaguliwa NTA level 5(miaka2) ukasoma na kumaliza na ufaulu mzuri...
Chuo Kikuu cha Dodoma kimeendelea kuonesha jinsi kinavyojari wenye kipato cha chini. Kuna kitu kipya kimeleak. Kuanzia mwaka huu kama una mkopo chini ya 100% unaweza kufanya usajili kabla hujalipa...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) jana October limetangaza matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba huku ikionesha kuwa UFAULU umepanda kwa asilimia 2.52...
Kama mnavyofahamu teyari serikali imeshaandaa mtaala mpya na baadhi ya walimu washaanza kupata mafunzo ya mtaala huo mpya.....
Yapo baadhi ya mambo mazuri katika mtaala huu ambayo mimi binafsi...
Daaah hii serikali yetu ya mwendo kumnembe aka mwendo kasi ni noumaaaa. Hii ni baada baada ya wanafunzi wapatao 25 kushindwa kupelekwa Algeria kwa ajili ya kupata shahada zao. Wengi wa wanafuzi...
Kama ni watu wenye utash ni walimu. Hawa ni wanataaluma makini na muhimu.
Walimu wana kila haki na umuhim katika jamii.
Huu Uzi iwe kwa ajili ya wao kupeana updates. Ninaamini walimu wanasoma...
Nimejaribu kufuatilia selection za mwaka huu nimeshindwa kuelewa kabisa, kwanza navyofahamu TCU yaani tume ya vyuo vikuu Tanzania ndiye mwenye dhamana na elimu yote ya juu ikiwa ndsie kinara wa...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,siku moja katika pita pita zangu kwenye mtandao nilikutana na tangazo katika tovuti ya wizara ya elimu kuhusu nafasi za kwenda kusoma...
Chama cha waalimu tanzania(CWT) ni chama cha waalimu cha muda mrefu sana sasa kwa tanzania......Chaajabu chama hiki kimekuwa chungu na mwiba mkubwa kwa waalimu wake kwa muda sasa.....
Maranyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.