WALIMU: Special Thread

WALIMU: Special Thread

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Kama ni watu wenye utash ni walimu. Hawa ni wanataaluma makini na muhimu.

Walimu wana kila haki na umuhim katika jamii.

Huu Uzi iwe kwa ajili ya wao kupeana updates. Ninaamini walimu wanasoma sana JF. kwa kuwa wao ni GT. Great thinker yeyote wanasoma. Mwalimu anasoma ili asomeshe wanasoma. Hapo special thread iwawezeshe kusoma mambo yao.

Mods tafadhali tangu kujiunga JF najua nimeweka wengi naomba hili li sticky ili mambo ya muhimu yajadiliwe ktk column hii.

Yapo mengi wao wana vilio vingi. sometimes wanatishiwa kufukizwa nk wanapambana na wanafunzi wanakwidana. Wana mengi kwa Waikiki wao.... hii thread ikusanye ya kwao tu.

Asante
 
u na weza kudhan Uzi wa kubadilishana vituo inahusiana lkn ile au Uzi ile uingie ktk huu...huu ni mkubwa
 
Back
Top Bottom