Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

The student with Index number 'S1359.0057.2009' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch FINAL LIST IMESHATOLEWA MAJINA 600 TU KWA SAUT. RAIS JOHN POMBE...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo almost week na kitu imeisha ukilogin unakuta loan breakdown tu kila siku majina hayaji vyuoni mpaka lini sasa maaanake tunasubil kila siku hakuna asee
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana kwenye kipindi cha kipima joto ITV kulikua na wadau kadhaa wa elimu walioalikwa kwa ajili ya kujadili upandishaji wa madaraja kwa wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu nchini. Kulikua na...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Miaka ile ya 1960's na 70's pale chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kulikuwa na Jarida maarufu lililoitwa CHECHE. Jarida hili lilikuwa na slogan yake ya "JIFUNZE KUPAMBANA,PAMBANA KUJIFUNZA"...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baada ya wakuu wa shule za kiislamu kumuandikia katibu mkuu-Elimu wakilalamika kwa wanafunzi wao kudhulumiwa somo la Islamic knowledge, NECTA wametoa matokeo mapya wakiwapa haki zao watoto hawa wa...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Daah tunashindia maji vyuoni mkopo vip
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar zenu wataalam wa manunuzii, naomba mnisaidieleo nahitaji maono yenu juu ya kesi hii iliopo hapa mezani kwangu Ninafanya evaluation ya construction, jumla ya wazabuni 11 wameomba hii kazi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari gani wana forum,samahani natafta mawasiliano kwa mtu yeyote anaesoma St Augustine kwa ajili ya kupata moja mbili za pale chuo..
0 Reactions
1 Replies
860 Views
wana JF .. kuna hii clip inasambaa sana mitandaoni kuhusu kauli ya rais wetu kuhusu kuwepo kwa vyuo vikuu ndani ya nchi yetu,,,,ametaja baadhi ya vyuo ambayo hapo awali vilikuwa vinatoa elimu ya...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
waziri kasema walimu wanapangiwa direct mashuleni kulingana na uhaba .....kwaio ukifanya integration kisha ukamalizia na differentiation uhalisia ni kuwa mashule mengi yamejaa walimu wa arts yaan...
1 Reactions
108 Replies
11K Views
Ndugu zangu mimi nilihitimu diploma mwka 2009 na kupata GPA ya 2.9 kwa bahati mbaya sikuwa na Pesa ya kujiendeleza kwa kipindi kile kwa maana ata hiyo diploma nilikuwa najisomesha mwenyewe...
2 Reactions
69 Replies
14K Views
Kwa wanafunzi ambao wameaply ktk round ya NNE na ya mwisho hasa kwa ngazi ya cheti na Diploma mpaka sasa kwenye profile zao hazijatoa majawabu ya wapi wamechaguliwa. Kwa mwenye kufahamu ni lini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
BEDECCA is an NGOs which deals with educating and counseling societies about the negative effects of absenteeism, and the importance of education to children. Some of communities do not know the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi. Mnamo tarehe 17/10 kun tangazo la TCU lilisambaa kuhusu kufanya uhakiki. Lakini mimi nimejitahidi kutafuta namna ya kufanya lakini nimeshindwa. Kama kuna aliyeweza atujuze...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuona majina ya walipata mkopo UDOM, Bonyeza HAPA
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Tanzania: JPM - No Student Will Miss Out in Loans Tagged: East AfricaEducationGovernanceTanzania Tweet Share Google+ By Deogratius Kamagi Dar es Salaam — President John Magufuli yesterday assured...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale tunao soma masomo ya sheria na mlio maliza waalimu mtusaidie kutuelekeza hapa masomo mbalimbali,tutashukuru kwani nafahamu siko peke yangu,msaada zaidi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mwezi mmoja na wiki moja sasa tangu tufungue chuo (MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY) hatujapata fedha ya kujikimu na hatujafaham sababu kuu ya ucheleweshaji huu. mateso haya tunayoyapata sisi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za mda huu ndugu zangu wapendwa wanajf. Naomba msaada juu ya hili, Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza na kwabahati nzur nimepata mkopo lakin sjajua nivipi naweza jua asilimia...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Baraza la Mitihani la Taifa limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi (PSLE) ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 2. Akitangaza matokeo hayo leo (Alhamisi), Katibu Mtendaji wa...
6 Reactions
67 Replies
48K Views
Back
Top Bottom