Kwanini Serikali isifute masomo haya? Kisw, Hist, Civ na Eng

Ha ha ha kwenye kozi zao ni bei rahisi

Ndio kozi zao zinaongoza kuzalisha ****** wanaoopenda kushindana kwa hoja mfu

Halafu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo
Mkuu usiwe hivo kk Haya ni maisha tuu.. Hebu fikiria Kama mtoto wako angekuwa kasoma arts Ndo anaenda chuo mwaka huu ungesema Hayo maneno aisee.. Acheni figisu mungu akikujalia kitu flan usimcheke Wala kumtukana mwezio


Robby
 
Hata hayo yaliobaki ni kupotezeana muda tu utategemea kuajiliwa ukikosa ajira ndio hivyo tena inatumia akili ya mtaani hili ucfe njaa
 
Back
Top Bottom