Nimesomaa habr katika gazeti la mwananchii kuhusu baadhi ya shule kufutiwa matokeo ya darasa la saba na nyinginee ni shule za binafsi zinazotoza gharama kubwaa nimeskitikaa sanaa na nimeanza...
Habari zenu wanajukwaa, Nawapongeza kwa ushauri chanya ambao mmekuwa mkitoa katika jukwaa hili.Nilitaka kujua kama kwa mfumo wa elimu yetu Tanzania unaruhusu mtu kusoma bachelor degree zaidi ya...
Habari wadau, kwa ambao wamepita na wanaosoma au wanaijua open university ninaomba kujuzwa ada yake pamoja na direct costs kwa ujumla hususani kwenye kozi za BBA.Nimejaribu kupitia website yao ila...
Namkumbuka DC aliyeamuru waalimu watandikwe bakora huko kagera Albert Mnali hivi ingekuwa ni zama hizi za hapa kazi tu maamuzi yangekuwaje? JPM angemfuta kazi?
Ni mwanachuo wa chuo kikuu cha dar es salaam,naomba udhamini katika masomo yangu.
Kwa taasisi binafsi,shirika, mtu binafsi anaemiliki shule ya private,naomba tuwasiliane.
Nachukua bachelor of...
kutokana na kutokuwa na msimamo mkawa mnaongozwa ongozwa tuu kama hamjaenda shule sasa tunachotaka rudisheni pesa zetu za application tulizo zitumiaga ktk maswala mazima ya kufanya application za...
Wakuu habari zenu, napenda kujua wapi nitapata chuo chochote cha Afya kozi ya (Medical lab) Elimu ni kidato cha 4,(2015) Ufaulu ni Chemistry C Physics C na Biology D niliomba UDOM lkn hadi sasa...
Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia...
Habari wakuu
Naomba mwenye softcopy ya kitabu cha veterinary parasitology fourth editon by
MA.Taylor
RL.Cool
RL.Wall
Nimejaribu kutafuta mtandaoni nimeshindwa kupata free copy vinginevyo ununue...
Mimi no kijana was form 6 PCB natarajia kufanya mtihani was taifa may2017. Nikikaa shule na wenzangu hua tunajadiliana maswala ya kozi
Wengi was rafiki zangu wanapendelea md Mimi npo tofauti...
NIKO KWENYE HARAKATI FULANI NINATAKIWA KUANDAA MAKALA YOYOTE KWA LUGHA YA KISWAHILI. IWE YA VIDEO YENYE MASAA MATATU.
MWANAJF NIPENI MICHANGO MAKALA YANGU IHUSU NINI AMBAYO ITAGUSA MAISHA YA WENGI.
Kwa heshima kubwa kabisa naombeni msaada wenu mdogo wangu kachaguliwa kusoma architecture mwaka huu (KWA SABABU MAALUM SITAJI JINA LA CHUO) sasa kwa bahat mbaya kapata taarifa kuwa kuna mtiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.