aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 835
- 1,215
Habar zenu wataalam wa manunuzii, naomba mnisaidieleo nahitaji maono yenu juu ya kesi hii iliopo hapa mezani kwangu
Ninafanya evaluation ya construction, jumla ya wazabuni 11 wameomba hii kazi na katika solicitation document yngu niliwaambia wakati wanapofanya zabuni zao, respond of bids bei zao lazima waoneshe if VAT is inclussive au exclussive, sasa hapa nawaona wazabuni wa 3 wao hawakusema lolote juu ya inclusivity ya hii VAT, nizihukumu namna ipi ktk evaluation? Sapoti maoni yko kwa vifungu / vifungu vya sheria au kanuni husika. Naoma kutoa hoja