Naomba ushauri, Nina Diploma GPA 2.9 na nimekataliwa kujiunga na digrii

metudi

Senior Member
Aug 13, 2014
150
72
Ndugu zangu mimi nilihitimu diploma mwka 2009 na kupata GPA ya 2.9 kwa bahati mbaya sikuwa na Pesa ya kujiendeleza kwa kipindi kile kwa maana ata hiyo diploma nilikuwa najisomesha mwenyewe,, nimejaribu kuchanga changa pesa nia ili nirudi shule na nia yangu nisome evening program ili mchana niangaike na shughuli zangu,,,

Sasa najiona nimekwama kwa maana naambiwa sina sifa na uwezo wa kwenda kusoma nje sina,,,

Naombeni ushauri nifanyaje jaman
 
Pole sana bro?? Nani alokwambia huna sifa?? Je ulienda nacte au tcu ukauliza...please go direct tcu au nacte ukqpate fafanuzi zaidi
 
Najua mwaka huu wamepandisha videzo sasa..wewe unakuwa considered na vigezo vipi vya mwaka huu au mwaka wako uliomaliza...better uende kwenye source utapata jibu kamili mkuu.
 
Umetokea chuo gani?umeomba umeambiwa huna sifa?
Nilisoma IFM diploma ya accountancy nimehitimu mwaka 2009,,,nilishindwa kuunganisha degree kwa kuwa sikuwa na fedha ila baadhi ya jamaa zangu waliunga waka graduate 2012, nilijipa matumain nikipata pesa ntarudi chuo sasa nimekuta mfumo wa sasa kusoma degree lazima uwe na gpa ya 3 so nashindwa kuelewa nifanyaje na mm gpa yngu 2.9 na kipindi chetu minimum ilikuwa 2.7
 
wakuu habarini za jioni

mimi ningependa kuuliza kwa waliomaliza mwaka kabla ya tangazo kutoka je na wao hawana vigezo vya kuendelea na bachelor??

au inakuwaje
 
wakuu habarini za jioni

mimi ningependa kuuliza kwa waliomaliza mwaka kabla ya tangazo kutoka je na wao hawana vigezo vya kuendelea na bachelor??

au inakuwaje
Mimi kesho ntaenda pale TCU au nacte nikaulizie juu ya hili swala mana naona linanichanganya sana,,, na ukizingatia hawajawai kulitolea ufafanuzi
 
kwa ninavyojua sheria ikitungwa inaanzia hapo hapo hairud nyuma .....kama saivi upo below 2.9 hamna haja ya kupoteza nauli kwenda TCU au Nacte kuulizia ....samahan lakn kama nimewakwaza lkn huo ndio ukweli hakuna namna labda watangaze kushusha GPA .....
Daah ahsante mkuu kwa kutujuza, daah kwaiyo elimu yetu ndio imeishia hapa hapa,, ningekuwa na fedha ningeenda kusoma nje ya nchi,,,! Kumbe kuchelewa kwangu kusoma imekuwa majanga,,, daaah leo sina sifa wakati 2009 nilikuwa na sifa,,
 
Daah ahsante mkuu kwa kutujuza, daah kwaiyo elimu yetu ndio imeishia hapa hapa,, ningekuwa na fedha ningeenda kusoma nje ya nchi,,,! Kumbe kuchelewa kwangu kusoma imekuwa majanga,,, daaah

ndo hivyo hakuna namna hapo ....mbaya zaidi wenzako waliunga ....naumia nikifikiria hapo ...neno ningejua linakuja mwishoni ...pole sana bado unayo nafasi kama ukijipanga
 
ndo hivyo hakuna namna hapo ....mbaya zaidi wenzako waliunga ....naumia nikifikiria hapo ...neno ningejua linakuja mwishoni ...pole sana bado unayo nafasi kama ukijipanga
Nafasi ipi tena kaka,, mana hawakutoa alternative yoyote mana zaman nakumbuka watu walikuwa wanasoma advance diploma,, advance diploma ikafutwa,,,it is not fair kabisa yan am totally confused

eheee kwaiyo maza kawapoteza raia wapo kitaa hawajuh wafanyaje we nenda tcu unapoteza muda wako tu subiri mwakani au risiti diploma upate iyo gpa ya 3
 
Nenda ktk chuo husika kwanza pia ikumbukwe waziri alishusha viwango kwa mara ya pili pata uhakika kabla ya kukata tamaa.
NB
JF isikuzuie kufanya utafiti binafsi kuna masuala mengine hayana taarifa sahihi humu
 
hapa jf ndo ukwer wenyewe usimlishe binti wawatu matango una gpa ya 3 inabdi uludie tena
 
Back
Top Bottom