Wakuu wasalaam,
Kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufahamu ratiba ya boti kutoka unguja kwenda pemba kwa kesho tar: 02/02/2017 ntashukuru sana atakayenipa msaada huo ni muhimu mno....
Photographer: Akos Stiller/Bloomberg
Acacia Jumps in London on Talks for $4 Billion Endeavour Merger
by
Thomas Biesheuvel
,
Dinesh Nair
, and
Scott Deveau
16. Januar 2017, 09:57 MEZ
Company...
heshima kwenu wakuu...wakuu ninawezaje kuitumia laptop kama chanzo cha kuniongezea kipato..maana huwa ninakua na free time ambayo naitumia kufanya mambo yasiyo na tija yoyote kwangu....naombeni...
Tanzania imepata nafasi ya kipekee kuwakilishwa na ndugu Julius J. Julius, Mkurugenzi Wa (www.clickncart.co) katika mashindano ya Ujasiriamali Afrika.
Mashindano haya ambayo Ndugu Julius pekee...
Jamani habari mana jf
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki mwenge kilichoppo Moshi nina chukua education (economics and geography). Kwanza kabisa mwaka wa 2014 nilikuwa UDOM...
Benki nchini zaimarika 2016
Katika robo ya tatu ya mwaka 2016, Benki ya CRDB inayohudumia zaidi ya robo ya wateja wote wa sekta hiyo ilitangaza kupata hasara ya takribani Sh2 bilioni huku...
Wadau wangu wa ukweli mnisaidie kuhusu hizi mashine za umwagiliaji bustani:
1. Zipi zenye ubora kati ya
Honda na Kingmax?
2. Namna ya kuitambua
waterpump...
Vodacom is to issue shares worth up to Sh500 billion in its planned initial public offer (IPO) - the highest in the history of IPOs in Tanzania.
Sasa ndugu wataalam wa DSE shares naomba tujadili...
Hakika viongozi wetu hebu kuweni wakweli kwenye mambo ya msingi. Nakumbuka mwaka jana baada ya Bunge la bajeti ilionekana Serikali imepitisha muswaada wa kulipia VAT kwa watumiaji wa simu...
Habari wakuu!
Hali imekuwa mbaya biashara hazifanyiki, nauliza utaratibu wa kuuza EFD mashine ambayo imetumika, utaratibu ukoje? Naamini wapo wajuzi humu
Jamani watu wa Mvomero mitiki inayovunwa hapo Mtibwa inalipiwa ushuru kweli? Maana inapitshwa handeni na kupelekwa bandarini Tanga.
Wakati huo halmashauri inadai haina fedha za kulipa madeni ya...
Habari za mihangaiko wana jamvi nimejikusanya nimenunua land cruiser hard top sasa nataka niigeuze itumike kwenye kazi za utalii sasa sijui wapi wanafanya maboresho ili iwe ndefu kidogo kama zile...
Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara
Naomba wadau wa jukwaa hili tusaidiane kuweka taarifa muhimu za kibenki ili ziwasaidie wadau wanaohitaji mikopo midogo midogo na ile ya kati kwa...
Salam kwenu!
Naomba kufahamishwa makadirio ya gharama kuanzia kusajili Jina la biashara BRELA hadi kupata TIN number inagharimu shilingi ngapi?
Mfano ni kwa biashara ya Stationery.
Regards!
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair went flat from Monday to Wednesday, not being able to stay above the resistance line at 1.0750. Price then...
Kampunia ya simu Tanzania TTCL imezindua huduma ya 4g/LTE Mwanza. Tumeona speed yenu kwa kweli nimeinjoy leo baada ya kununua line yenu, lakini tunaomba huduma hii ambayo imezinduliwa kwa maeneo...