Halidi Haji
Member
- Jan 20, 2017
- 53
- 18
naomba kuuliza wana jamvi kwamba nikweli kwasasa uchumi umekua mgumu kama wengine wanavyolalamika au nimzunguko wa maisha ya mtu tu
kwani wewe unaonaje kwa mfano...naomba kuuliza wana jamvi kwamba nikweli kwasasa uchumi umekua mgumu kama wengine wanavyolalamika au nimzunguko wa maisha ya mtu tu
mimi kwangu kawaida kama miaka kumi iliyopta sasa naona watu hulalamika sanakwani wewe unaonaje kwa mfano...
Lakini sio kwa watu wote nikama zamaniWateja wamepungua maana mzunguko wa pesa ni mdogo sana.
kwani wewe unaonaje kwa mfano...
Mimi naona aliyekua amezoea kula halali maisha hayamsumbui maana ukifka baa watu wanakunywa bia mbaya kama zamani hivyo ukisema hali ngumu nashindwa kuelewaMaoni yako kwanza.
hakuna masika isiyokuwa na mbu. hakuna masika ambayo hari huwa rahisi daima.naomba kuuliza wana jamvi kwamba nikweli kwasasa uchumi umekua mgumu kama wengine wanavyolalamika au nimzunguko wa maisha ya mtu tu
asante sana kaka nimefurahi kwa majibu yako umejibu ndivyohakuna masika isiyokuwa na mbu. hakuna masika ambayo hari huwa rahisi daima.
kwanza january huwa mwezi dume cku zote. sikukuu huwa zimekomba kila mfuko wa mtu.
yaani viwanda vya nguo na vile vya vinywaji ndo huwa wanabaki na stock yakutosha ya fedha ktk kipind hichi.
wanabaki na stock tu, mauzo nao kwa sasa wanakuwa ktk crisis. they just remain the strong firms as a result of the December boom.
sema wabongo ktk hari kama hii miaka kama hii reference na lawama zote nikwa Magufuri.
Juzi mtaani kwetu kuna dada mmoja kanunua nguo ya ndani ikambana, alisikika akisema, " [HASHTAG]#yaani[/HASHTAG] Magufuri huyu?"#
Kwaiyo ndugu yangu, mambo yako hivyo.
Mimi si mwanauchumi. nimechangia in reference to the society i dwell in.
nashukuru pia. huo ni mchango wangu tu kibongobongo!asante sana kaka nimefurahi kwa majibu yako umejibu ndivyo
poa kakanashukuru pia. huo ni mchango wangu tu kibongobongo!
Ila, economists wanaweza wakatusaidia zaid mkuu
Lakini sio kwa watu wote nikama zamani
Tupe maoni yako huko voda vp laini zinauzika...?naomba kuuliza wana jamvi kwamba nikweli kwasasa uchumi umekua mgumu kama wengine wanavyolalamika au nimzunguko wa maisha ya mtu tu