Nataka kuanza kufanya kazi ya udalali. Je nitaanzaje?

loupa

Senior Member
Jul 22, 2016
124
78
Wadau,

Nitaanzaje kuwa dalali wa vyumba, mashamba au mazao?

Naomba ushauri.
 
Anza kwa kujaribu kudalalia shamba lako nyumba! Ukimaliza endelea kutafuta wateja wa kununua vitu vingine kama kitanda chako,meza,sufuria nk!! Hadi hapo utakuwa umefuzu kuwa Dalali!! Kazi njema
 
Ni kazi ya uongo mwingi na aina fulani ya kautapeli,maana ili kumlainisha mteja kuna namna ya uongo na ulaghai utaufanya kupitia maneno mengi kama umemeza cd ili ufanikiwe.so anza kwa kudanganya kwanza hata kwa mkeo,lala nje ukija kesho mwambie ulipata dharula ukasafili nje ya mji kidogo,akikuelewa unapanda ngazi nyingine!
 
Back
Top Bottom