Msaada wa ratiba ya boti Unguja-Pemba kwa kesho tar 02/02/2017

Mpagani

Senior Member
Oct 8, 2016
134
66
Wakuu wasalaam,
Kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufahamu ratiba ya boti kutoka unguja kwenda pemba kwa kesho tar: 02/02/2017 ntashukuru sana atakayenipa msaada huo ni muhimu mno....
 
Back
Top Bottom