Makadirio ya kusajili jina la biashara na TIN namba ni kiasi gani?

Sir Hemedi

Senior Member
Sep 28, 2016
112
120
Salam kwenu!

Naomba kufahamishwa makadirio ya gharama kuanzia kusajili Jina la biashara BRELA hadi kupata TIN number inagharimu shilingi ngapi?

Mfano ni kwa biashara ya Stationery.

Regards!
 
Kusajiri TIN number ni bure, hili linafanywa na TRA, Unapaswa kufika ofisi zao zozote zilizo karibu nawe.

Kusajiri jina la Biashara ni wastani wa shilingi Elfu ishirini hivi, hili linafanywa na BRELA na kwa sasa unaweza kufanya mchakato huo popote ulipo kwa kutumia mtandao tu.
 
Shukran sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom