Nawezaje kutumia laptop kama chanzo cha kujiingizia kipato?

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
heshima kwenu wakuu...wakuu ninawezaje kuitumia laptop kama chanzo cha kuniongezea kipato..maana huwa ninakua na free time ambayo naitumia kufanya mambo yasiyo na tija yoyote kwangu....naombeni kwa anaejua namna yoyote ambayo naweza kufanikisha hili' tujuzane..
 
Wakati ukiwa na muda wa kutosha pitia website kadhaa wa kadhaa zinazoweza kutoa grants za miradi mbalimbali inayoweza kunufaisha jamii....

Tumia laptop yako kudownload na kuandika proposal za miradi mbalimbali unayodhani itakusaidia wewe na jamii inayokuzunguka. kuna taasisi nyingi mitandaoni hutoa grants kuwezeza miradi ya namna hiyo.
 
mkuu hizo taasisi nitajie
japo moja tu..nami nitaifuayilia
 
Trump&Magu wanatafuta watu kama emb watafute haraka na waambie huna kabisa wala hujui cha kufanya. Ukiona ngumu hiyo tafuta wimbo wa Kala Jeremiah anakwambia uza smartphone... kwenye smartphone weka laptom uendane nae
 
mkuu sio kwamba sina cha kufanya bali nataka ...ila nataka niitumie kama part time
 
unabundle download photoshop angalia video za tutorial youtube jinsi ya kuedit picha kutengeneza matangazo practice kuwa competent hela ipo mtaani inakusubiri.
 
ahsante sana mkuu maana bundle nj la kutosha muda wote
 
Hapana , ila mimi ni mmoja wa watumiaji wazuri wa link za proposal.

Vipi umepata tatizo na hiyo link? naweza kukusaidia tafadhali
iko poa nilifikiri labda wewe ni mnufaika wa hiyo fund tupeane uzoefu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom