kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Jamani watu wa Mvomero mitiki inayovunwa hapo Mtibwa inalipiwa ushuru kweli? Maana inapitshwa handeni na kupelekwa bandarini Tanga.
Wakati huo halmashauri inadai haina fedha za kulipa madeni ya watumishi pia na kiwanda cha Mtibwa mapato yake yanakwenda wapi?
Nina mashaka na hilo, wana Mvomero muamke alafu mnalalamika njaa wachache wananufaika na mapato hayo.
Mh apeleke wakaguzi pale halmashauri.