Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana Jamii Forum, naomba msaada wa kuanzisha ofisi Ushauri Elekezi wa mambo ya Kilimo na biashara ya Kilimo kwa ujumla. Ushauri please
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wana Jukwaa. Nimekuwa nikifanya survey sana kwenye hii mitandao ya kusaka Laptop kwa ajili ya matumizi binafsi. Kuna product ukiipenda, kuna kitufe cha kuwasiliana na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ukiweza kupata biashara moja itayo kulipia kodi ya nyumba, kukulisha, kusomesha ndugu zako wawili watatu, kukutoa out kila weekend, kukuvalisha, kulipa madeni yako yote basically kwa biashara...
10 Reactions
31 Replies
10K Views
Nina FURSA 4 ,za biashara naziweka ubaoni mwenye kufit katika biashara mojawapo tuwasiliane: 1. Business collaboration: Kampuni ya kitanzania imepata soko la korosho ,biashara yenye thamani ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Jamani wana jf ningependa kutangaza kwa mara ya mwisho kwa anayetegemea kuanzisha biashara ya Vinywaji kama Grocery,utapata kila kitu kwa 1.5mil only.. Hii inajumuisha Freezer, spika 2 za mziki...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Salama wakuu, Ninamshukuru Mungu mimi ni mzima na sina ulemavu wa aina yeyote. Nimekaa nikawaza kitu fulani baada ya kuona manyanyaso wanayoyapata walemavu kwenye suala la ajira hata kujiajiri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu,poleni na majukumu nafahamu kwa muda huu bado wengine wapo kwenye majukumu ya kujenga taifa ila naomba utakapopita hapa acha comment yako kwa kile unachoelewa kuhusu hii kitu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais wa Chemba ya Biashara,viwanda na kilimo, Ndibalema Mayanja, amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Mikoa ya Mwanza na Kagera kuchangamkia soko la awali la hisa za TCCIA Investment PLC...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikal Ongezeni muda wa kuzuia viroba kuwepo sokon kwa sababu wafanyabiashara bado tunavyo vingi sana hata vya kuuza miez mingine 6
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba orodha ya vyakula vinatumuka kwa wingi na mzunguko wake in mzuri naomba msaada jamani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, Kuna kiasi nimepata hapa, nahitaji kuwekeza katika hizi biashara za Maxmalipo na Selcom, kwa wazoefu tupeane ujuzi ipi ni bora na kamisheni zake ziko vipi. Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Opportunity for all people who are in mining sector, Click the link below to download and fill registration form Conference: Business Trip of German Mining Industry to Tanzania
0 Reactions
3 Replies
718 Views
Business opportunity : we need Black Clay,10,000 tons. Transportation is on the buyers. if anyone has please quote price together with pictures. thanks and appreciate your quick response.
1 Reactions
0 Replies
701 Views
Nimependa kupata mawazo kutoka kwenu wanajamii forum kuhusu namna mbalimbali za kuwekeza pesa yaani pesa kutengeneza pesa kwa njia ya riba, kodi, kawio , nakadhalika ndan ya Tanzania. Mfano Mimi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
According to a recent report by the World Bank (WB) titled “Africa’s Cities – Opening Doors to the World”, the total economic value of buildings in Dar es Salaam is estimated at around UDS12...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila siku nimekuwa nikiona Wachumi wetu kadhaa wakisema huku wakituonyesha kupitia data kuwa Uchumi wa Tanzania umekuwa lakini nikiangalia maisha halisi ya Mtanzania hayahakisi kile...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD went downwards last week, tested the support line at 1.0500, and then rallied significantly on Friday. Actually...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Hili ndo swali nililokutana nalo mara tu baada ya kushuka kutoka kwenye mwendokasi "mminyano". Nilishangaa kuona Kariakoo ipo kama jumapili wakati leo ni siku ya kazi. ...' we hebu fikiria mtu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Naomba kujua utaratibu wa kuweka bango barabarani bila kuvunja sheria.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha biashara hii ya mafuta ya mawese niwe nayatoa Kigoma mpako mikoani ila sijajua nianzie wapi mwenye idea kuhusu biashara hii anipe mawazo pa kuanzia pia kama kuna mtu atakayehitaji...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Back
Top Bottom