Nataka kushare mtaji wangu na walemavu

Jembebutu

Member
Feb 14, 2017
88
225
Salama wakuu,

Ninamshukuru Mungu mimi ni mzima na sina ulemavu wa aina yeyote. Nimekaa nikawaza kitu fulani baada ya kuona manyanyaso wanayoyapata walemavu kwenye suala la ajira hata kujiajiri.

Hii inatokana na maumbile au ulemavu wao na ndio sababu kubwa inawafanya wawe ombaomba mtaani au kushindwa kabisa kujikimu kimaisha. Nipo tayari kufanya lolote kwa kuwashirikisha hawa ndugu zangu tupate faida wote. Naomba mawazo yako.

Ni jambo gani au bishara gani ninaweza kufanya na walemavu ikatuingizia pesa?
 
Salama wakuu. Ninamshukuru Mungu mimi ni mzima na sina ulemavu wa aina yeyote. Nimekaa nikwaza kitu fulani baada ya kuona manyanyaso wanayoyapata walemavu kwenye suala la ajira hata kujiajiri. Hii inatokana na maumbile au ulemavu wao na ndio sababu kubwa inawafanya wawe ombaomba mtaani au kushindwa kabisa kujikimu kimaisha. Nipo tayari kufanya lolote kwa kuwashirikisha hawa ndugu zangu tupate faida wote. Naomba mawazo yako,,, ni jambo gani au bishara gani ninaweza kufanya na walemavu ikatuingizia pesa?
Kama unamaanisha njoo pm plz
 
Back
Top Bottom