How and where to invest money?

mindpower

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
1,049
1,211
Nimependa kupata mawazo kutoka kwenu wanajamii forum kuhusu namna mbalimbali za kuwekeza pesa yaani pesa kutengeneza pesa kwa njia ya riba, kodi, kawio , nakadhalika ndan ya Tanzania.
Mfano Mimi najua unaweza kutumia mtaji wa kifedha :
1. kununua hisa.
2. kuwekeza kwenye vipaji mbalimbali
3.deposit kwenye fixed account ukapata riba
4. Kwenye ardh ukapata kodi
5. Kwenye majengo ukapa kodi
Ningependa mnaojua kinadharia na kihalisia mnisaidie how to invest money mfano ukiwa na million moja au kumi waweza invest kwenye nini izae million 10 au 20 kwa mda Fulani
Wanauchumi na wadau mbalimbali tupieni mawazo ya kutengeneza pesa kwenye hili.
 
Sasa si uende ukanunue hisa za vodacom ,tigo au hisa za benki!!....au weka fixed account ingawa benk kama ya CRDB interest yake ndogo 3%
 
Back
Top Bottom