Fursa (4) za biashara nilizonazo na wewe zinaweza kukufaa

cccltd

Member
Feb 18, 2017
64
18
Nina FURSA 4 ,za biashara naziweka ubaoni mwenye kufit katika biashara mojawapo tuwasiliane:

1. Business collaboration:
Kampuni ya kitanzania imepata soko la korosho ,biashara yenye thamani ya dola Mil 1 lakini biashara itafanywa kwa awamu 5, za dola laki 2 each. Mzigo utalipwa utakapofika dar port baada ya SGS kukagua na kutoa taarifa kwa mnunuzi , Mnunuzi at a release payment dola laki 2 , kupitia benki akaunti ya wenye tenda hiyo .

Mzigo unanunuliwa Mtwara na kulipiwa FOB Dar port, Benki imesha confirm uhakika wa LC .**** Mahitaji ya biashara hiyo ni mfanyabiashara atakae ungana nao ku facilitate gharama mbalimbali kufanikisha biashara hiyo kiasi kisichozidi 20, mil , jinsi gani utanufaika ukiungana nao wasiliana nasi ( ufanunuzi wa kina wasiliana kupitia namba 0762781778 what's up / call( serious business)

2. FURSA YA PILI
Kama ni mfanyabishara wa Mabasi,malori au Mkandarasi unahitaji kupata Mkopo wa ununuzi wa mitambo na MAGARI ya biashara wasiliana nasi 0762781778 what's up,
* vigezo : uwe mzoefu wa biashara husika kwa zaidi ya miaka 2, uwe na benki sttment ya uhakika mzunguko mzuri, uwe na 20% ya Mkopo unaoomba , kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi.

3.FURSA YA TATU.
JOINT VENTURE: Watanzania wenzetu wanafanya biashara ya Upimaji na uuzaji wa Viwanja wanahitaji mfanyabiashara atakae ungananao kuwekeza katika ununuzi wa ardhi eneo la kigamboni , tayari wameshafanya uhakiki na kuchora mchoro , eneo limetoa Viwanja 39 vya 600 sqm kila kimoja , vyenye Thmani ya tsh Mil 351, uwekezaji ni mil 180( ununuzi wa ardhi) lakini zinahitajika mil 55 awali ili kuwezesha zoezi la kuweka mawe liendelee , tayari wateja wapo endapo taratibu zitakamilika,
Wasiliana nasi tukukutanishe: 0762781778 what's up,

4. FURSA YA NNE.
EKARI MOJA INAUZWA : EKARI MOJA inauzwa karibu na eneo la Dege Kigamboni , eneo zuri tambarare umbali wa kilomita 1.5 toka barabarani , unaweza kupima Viwanja 6 vya Makazi vyenye thamani ya mil 54 ambapo eneo linauzwa tsh 19 mil tu , utaratibu wa kununua na kupima tutakupa msaada wa ushauri na wataalamu , changamkia uwekezaji huo , kwa mawasiliano zaidi : 0762781778 what's up ( serious business for serious people)
 
Wajinga ndo waliwao. Hapo nne tu logically kama heka moja inauzwa ml19; na ukipima viwanja kiwanja kimoja tu ni mil 54; sioni logic ya kuuza hilo eneo mil 19 badala ya bei ya soko.

Otherwise huu ni utapeli;);)
Kaka kama huelewi uliza acha kuharibu biashara za watu,hapo shamba linauzwa mil 19 ,na tunajaribu kukuonyesha kama utaamua kupima Viwanja ukapata hati bei ya soko itapanda kufikia 54 mil , unaweza karibu huwezi waachie wengine,
 
kuuliza ni bure na mabasi mnakopesha ya aina gani na bei ya soko ni sh ngap
 
Nina FURSA 4 ,za biashara naziweka ubaoni mwenye kufit katika biashara mojawapo tuwasiliane:
1. Business collaboration:
Kampuni ya kitanzania imepata soko la korosho ,biashara yenye thamani ya dola Mil 1 lakini biashara itafanywa kwa awamu 5, za dola laki 2 each. Mzigo utalipwa utakapofika dar port baada ya SGS kukagua na kutoa taarifa kwa mnunuzi , Mnunuzi at a release payment dola laki 2 , kupitia benki akaunti ya wenye tenda hiyo .
Mzigo unanunuliwa Mtwara na kulipiwa FOB Dar port, Benki imesha confirm uhakika wa LC .**** Mahitaji ya biashara hiyo ni mfanyabiashara atakae ungana nao ku facilitate gharama mbalimbali kufanikisha biashara hiyo kiasi kisichozidi 20, mil , jinsi gani utanufaika ukiungana nao wasiliana nasi ( ufanunuzi wa kina wasiliana kupitia namba 0762781778 what's up / call( serious business)

2. FURSA YA PILI

Kama ni mfanyabishara wa Mabasi,malori au Mkandarasi unahitaji kupata Mkopo wa ununuzi wa mitambo na MAGARI ya biashara wasiliana nasi 0762781778 what's up,
* vigezo : uwe mzoefu wa biashara husika kwa zaidi ya miaka 2, uwe na benki sttment ya uhakika mzunguko mzuri, uwe na 20% ya Mkopo unaoomba , kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi.

3.FURSA YA TATU.
JOINT VENTURE: Watanzania wenzetu wanafanya biashara ya Upimaji na uuzaji wa Viwanja wanahitaji mfanyabiashara atakae ungananao kuwekeza katika ununuzi wa ardhi eneo la kigamboni , tayari wameshafanya uhakiki na kuchora mchoro , eneo limetoa Viwanja 39 vya 600 sqm kila kimoja , vyenye Thmani ya tsh Mil 351, uwekezaji ni mil 180( ununuzi wa ardhi) lakini zinahitajika mil 55 awali ili kuwezesha zoezi la kuweka mawe liendelee , tayari wateja wapo endapo taratibu zitakamilika,
Wasiliana nasi tukukutanishe: 0762781778 what's up,

4. FURSA YA NNE.
EKARI MOJA INAUZWA : EKARI MOJA inauzwa karibu na eneo la Dege Kigamboni , eneo zuri tambarare umbali wa kilomita 1.5 toka barabarani , unaweza kupima Viwanja 6 vya Makazi vyenye thamani ya mil 54 ambapo eneo linauzwa tsh 19 mil tu , utaratibu wa kununua na kupima tutakupa msaada wa ushauri na wataalamu , changamkia uwekezaji huo , kwa mawasiliano zaidi : 0762781778 what's up ( serious business for serious people)
Mkuu acha blah blah
Njoo nikupe fursa ya kabeji.
Shambani moja tunanunua mia(100)...mjini moja tunauza mia tano(500)
Hivyo basi ....................
kabichi 10=1,000 unapata 5000
kabichi 100=10,000 unapata 50,000
kabichi 1000=100,000 unapata 500,000
kabichi 10,000=1,000,000 unapata 5,000,000....toa gharama za usafiri ikiwamo kula ,kunywa na ku mmhh. haifiki m2.
kwa hiyo faida ni m.3 kavu plus.;)
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Hii yako ya kabeji nimeipenda iweke vizuri mkuu ili niielewe , hapa hapa sio pm.
 
Tapl.PNG
Ulikua unauza viwanja Juzi tu.. Leo unauza shamba nini kimekupata?? pia namba ya simu ya juzi na leo ni tofauti kabisa... isitoshe huna hata wiki tangu ujiunge humu. Pole sana ndugu itachukua muda kuokota wateja hapa. Kiufupi ni kwamba wewe ni TAPTA
 
Mkuu acha blah blah
Njoo nikupe fursa ya kabeji.
Shambani moja tunanunua mia(100)...mjini moja tunauza mia tano(500)
Hivyo basi ....................
kabichi 10=1,000 unapata 5000
kabichi 100=10,000 unapata 50,000
kabichi 1000=100,000 unapata 500,000
kabichi 10,000=1,000,000 unapata 5,000,000....toa gharama za usafiri ikiwamo kula ,kunywa na ku mmhh. haifiki m2.
kwa hiyo faida ni m.3 kavu plus.;)
Hii biashara ya Kabichi ni biashara kichaa,ina hasara ya kufa mtu....anyway Salam kwa Ali Mshitu sokoni madoto mburahati.
 
View attachment 477481 Ulikua unauza viwanja Juzi tu.. Leo unauza shamba nini kimekupata?? pia namba ya simu ya juzi na leo ni tofauti kabisa... isitoshe huna hata wiki tangu ujiunge humu. Pole sana ndugu itachukua muda kuokota wateja hapa. Kiufupi ni kwamba wewe ni TAPTA

Hahaa ndo maana nimemwambia atawakamata wajinga wajinga...
 
Halafu hiyo ya korosho..Si rahisi korosho iliyonunuliwa Mtwara hairuhusiwi kuakiliwa bandari ya Dar. Halafu msimu ulisha wanunuzi wa korosho nao wanafuata msimu. Kubwa zaidi kwa sasa bidhaa za mazao haziingii India tokana na suala la methyl bromide.Hadi watakapopata muafaka baina serikali ya India naTanzania
 
Back
Top Bottom