jk kisiwa
Senior Member
- May 31, 2016
- 131
- 97
Nataka kuanzisha biashara hii ya mafuta ya mawese niwe nayatoa Kigoma mpako mikoani ila sijajua nianzie wapi mwenye idea kuhusu biashara hii anipe mawazo pa kuanzia pia kama kuna mtu atakayehitaji pia anakaribishwa.
Ushauri wa jinsi pia ntakavyoiboresha bidhaa hii ili kutofautiana na wafanyabiashara wengine wanayoifanya.
Ushauri wa jinsi pia ntakavyoiboresha bidhaa hii ili kutofautiana na wafanyabiashara wengine wanayoifanya.