Nijuze hatua za kufungua auction mart.

be unique

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,381
2,282
Habari wakuu,poleni na majukumu nafahamu kwa muda huu bado wengine wapo kwenye majukumu ya kujenga taifa ila naomba utakapopita hapa acha comment yako kwa kile unachoelewa kuhusu hii kitu.
Nilihitaji kufahamu hatua na vitu vya kuzingatia wakati unataka kufungua kampuni ya ufilisi (auction mart),ninapenda sana kufungua aina hii ya kampuni ila sijafahamu hatua zake na nataka kuanza kwa hatua ya chini maana bado sina mtaji mkubwa kiasi cha kuanzia juu.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom