Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 567
Habari ndugu zangu,
Naomba kujua utaratibu wa kuweka bango barabarani bila kuvunja sheria.
Naomba kujua utaratibu wa kuweka bango barabarani bila kuvunja sheria.
Nenda Halmashauri uliyopo, hivyo ni vyanzo vya mapato vya HalmashauriHabari ndugu zangu, naomba kujua utaratibu wa kiweka bango barabarani bila kuvunja sheria.