Serikali iongeze muda wa kuzuia viroba

Oct 17, 2014
23
3
Serikal Ongezeni muda wa kuzuia viroba kuwepo sokon kwa sababu wafanyabiashara bado tunavyo vingi sana hata vya kuuza miez mingine 6
 
Unaweza ukapata faida badala ya hasara mkuu, vikiwa adimu vitauzwa kinyemela na Bei itakuwa juu maana vijana tayari wana addiction navyo na bei za Beer hawaziwezi.
 
Unaweza ukapata faida badala ya hasara mkuu, vikiwa adimu vitauzwa kinyemela na Bei itakuwa juu maana vijana tayari wana addiction navyo na bei za Beer hawaziwezi.
Bei lazma iwe juu bora wangelegeza ata xku 90
 
  • Thanks
Reactions: 247
si kuongeza muda, bali busara inahitajika hapa. hakuna athari kiafya ilioelezwa, ni paking. ilitakiwa kusimamisha uzalishaji na uingizaji. lakini vilivyoko sokoni vingeisha tu.
 
Lengo la serikali kuzuwia viroba ni pamoja na kumuokowa kiongozi wa upinzani bungeni kutoka ktk dimbwi la ulevi hivyo kuongeza muda kunaweza kusiwe na maana ya malengo yao
 
Back
Top Bottom