Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Kila siku nimekuwa nikiona Wachumi wetu kadhaa wakisema huku wakituonyesha kupitia data kuwa Uchumi wa Tanzania umekuwa lakini nikiangalia maisha halisi ya Mtanzania hayahakisi kile kinachohubiriwa.
Hii imekaaje?
Hii imekaaje?