Green_Touches
Member
- Dec 25, 2016
- 67
- 18
Heshima kwenu wadau,
Kuna kiasi nimepata hapa, nahitaji kuwekeza katika hizi biashara za Maxmalipo na Selcom, kwa wazoefu tupeane ujuzi ipi ni bora na kamisheni zake ziko vipi.
Karibuni.