Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wana Jukwaa.
Nimekuwa nikifanya survey sana kwenye hii mitandao ya kusaka Laptop kwa ajili ya matumizi binafsi.
Kuna product ukiipenda, kuna kitufe cha kuwasiliana na seller/producer/manufacturere.
Zen utaulizwa, Je tukuunganishe pia na wauzaji wengine wenye the same product!? Yaani kwa maana hii, huo ujumbe wako wautumie kwa wauzaje wengine...
Nikakubali, Leo nimepokea email toka kwa baadhi ya wauzaji, naambatanisha na list ya laptop walizonitumia.
Swali langu, Je hawawezi kuwa matapeli, natajuaje kama ni matapeli!?
Na njia ya malipo ametaka either Western union, au TT..
Naomba kujuzwa.