Salaam alaykum wapendwa.. naomba kwa yoyote ambae ana ujuzi wa kutumia amazon kama sehemu yake ya kununulia bidhaa kwa njia za mtandao anisaidie procedures zake na namna ya kufanya mzigo...
Nahitaji msaada wa mawazo juu ya wazo la uanzishaji wa biashara ya duka la kuuza na kukodisha CD ikiwepo na tigo pesa lakini kuna jengo ambalo ni sehemu nzuri kufungua kitu kama shule ya watoto...
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake...
Katika kuhakikisha uchumi Wa Tanzania unastawi kampuni ya Vodacom Tanzania imeamua kuunga mkono jitihada za kustawisha uchumi katika ukuaji imara katika sekta ya viwanda kwa kuhakikisha huduma na...
Habari zenu wana jamii F!
Naamini wote wazima,mimi ni kijana ninaependa maendeleo na kujifunza vitu vingi zaidi...
Nilikuwa naomba kwa wanaofahamu() ,naombeni mnifahamishe/mnielimishe kuhusu zao...
Wengi miongoni mwetu wamekuwa wakitaka kujua HISA ni nini, shauku hii imenifanya nidodose kidogo juu ya hisa kwa faida ya wengi. Kwa tafsiri lahisi HISA NI UMILIKI.
Mtu akisema nina hisa NMB...
Habari wanajamvi?
Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa...
8 Reasons To Own Gold
A history of holding its value
Weakness of the U.S. Dollar
Inflation
Deflation
Geopolitical Uncertainty
Supply Constraints
Increase Demand
Portfolio Diversification...
Habari wanaJF,
Hivi inawezekana kutengeneza juice ya miwa na ukawa unaiuza supermarket? Sijawai kuona inauzwa supermarket yoyote ile na natamani nijue process zake za kuhifadhi ili isiharibike.
One of the frustrating things about being a trend follower is that it takes time to overcome the inertia of a new system, particularly if that system is based upon slightly longer time periods...
Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama...
Siku zote kuna vitu vinakera lakini kumpuuza mteja kwenye ni Tatizo lenye kuumiza Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Airtel lakini nimeamua kuhama rasmi hawajali kabisa wateja wao. Kuanzia...
1.Fanya utafiti wa kutosha juu ya biashara unayotaka kuazisha sio tu kwa kuwa kuna mtu unayemjua amefanikiwa kutokana na biashara hiyo. Pia hakikisha unajua ni nini utakifanya endapo biashara hiyo...
Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) itaanza kuuza hisa zake milioni 560 kwa thamani ya Shilingi 850 kila hisa. Mauzo yataanza tarehe 09.03.2017 na...