UKWELI NI HUU
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 262
- 412
Habari wanajamvi?
Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa kushirikiana na kampuni kutoka Hungary.
Leo hii FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar ilikuwa Airbus A319 na hata katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo kulikuwa na Airbus A319 nyingine mbili.
Ni nini kimetokea hapa katikati?
Wateja wameongezeka tena Tanzania?
Cc barafu