dominion
Member
- Mar 8, 2017
- 25
- 13
Habari zenu wana jamii F!
Naamini wote wazima,mimi ni kijana ninaependa maendeleo na kujifunza vitu vingi zaidi...
Nilikuwa naomba kwa wanaofahamu() ,naombeni mnifahamishe/mnielimishe kuhusu zao la UFUTA/sesame/sim sim namna linavyokuwa,linastawi vizuri mazingira gan,na pia bajeti ya kulima hilo zao kwenye acre moja (1),acre hiyo moja inatoa gunia ngap, changamoto zake,magonjwa yake,soko lake,bei za kuuzia,kwa ufupi karibia kila kitu kuhusu zao la ufuta....location ninayofikiria kulima hilo zao ni makuyuni,Arusha..nitaweza kupata mazoa hapo!
Nawakaribisha members woooote ili niweze kupata elimu!