Automated Teller Machine

1xbet Sports - EA

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
789
729
Hivi ATM kutoa pesa zilizochakaa ni kiashiria cha nini. Kwa uelewa wangu ni kwamba mzunguko wa pesa ni mdogo. Nawaalika wataalamu kutiririka hapa.
 
Mhuu kwani mzunguko wa hela na noti zinazowekwa kwenye ATM kuna uhusiano gani? Noti kuwa mpya au za zamani ni uamuzi wa anaeweka . Bank wanaweza wakawa na noti mpya ila wakaamua kufeed noti zilizotumika kwenye ATM.
And sometimes kinaweza kikawa kiashiria cha kuongezeka kwa mzunguko wa hela kwani inamaana watu wanadeposit sana kiasi kwamba benki hazina haja ya kuomba noti mpya BOT and this is most likely.
 
Back
Top Bottom