Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,454
- 25,372
Wakuu anayefahamu kuhusu hii application anielekeze jinsi ya kukopa pesa na unarudishaje?
Kwa hiyo nikisha download naruhusiwa kuanza kukopa directly bila kuweka kianzio chochote?Unadownload branch
Reguster: ID number ya kitambulisho cha kura /facebook account iliyo active.
Then wanakupa option ya kukopa 20000/10000/5000
unachagua unayotaka wanakuwekea na marejesho kila week unatakiwa ulipe Tsh ngapi. ukibonyeza inaingia katika acc yako ya Mpesa ndani ya sek 30! hela inaingia.
unalipa hivi ; unaweka hela Mpesa
unaingia menu ya Mpesa
unabonyeza namba 4
watakwambia kulipa kwa kampuni
unabonyeza 4 tena kuweka namba ya kampuni ambayo ni 256699
baada ya hapo unaambiwa weka namba ya kumbukumbu unaandika namba yako ya simu.
unalipa kiasi gani unaandika tena
unaambiwa weka password unaweka
basi unaletewa sms kuwa unatuma Tsh 5099 kwenda branch international limited bonyeza 1 kukubali!
baada ya hapo unakua ushalipa , unaenda next day ya kulipa .
NB: unalipa kila week marejesho!
lazima uwe mteja wa vodacom sio mtandao mwingine wowote.
pia ni wazungushaji wazuri sana ukiwa unaanza unaweza kupigwa kalenda mwezi mzima.
baada ya hapo wanakupa.
ukishakuwa mteja ukipress tu ndani ya sekunde30 pesa inaingia mpesa.
mimi mteja wao ila wamenichefua nmelipa60000 yao wameanza kunizungusha kukopa wanasema ningoje one day ndio nikope nmechukia sana, ukizingatia nna shida
Pia ukishakopa mara moja ,unaruhusiwa kukopa tena au mpaka umalize deni?Unadownload branch

Wewe ulidhani nini?Hizi biashara hizi
hakuna kianzio unakopa tuKwa hiyo nikisha download naruhusiwa kuanza kukopa directly bila kuweka kianzio chochote?
ukimalizaPia ukishakopa mara moja ,unaruhusiwa kukopa tena au mpaka umalize deni?
Mfano ukikopa elf 20 unatakiwa urudishe sh ngapi na kwa muda gani?mimi natafuta mtu wa kunikopesha 50000 -30000 maana
week 4Mfano ukikopa elf 20 unatakiwa urudishe sh ngapi na kwa muda gani?
Na vipi ukichelewa kulipa je?
Je naruhusiwa kulipa yote kwa pamoja?week 4
kila week 5650
mfano ; umekopa leo alhamisi
basi alhamisi ijayo urudishe 5650
kwa week4
hawanaga faini.Je naruhusiwa kulipa yote kwa pamoja?
Na je maximum kukopa ni sh ngapi?
Ukipitisha wiki bila kulipa wanakupa faini ya sh ngapi?
Anhaaa hapo sawahawanaga faini.
ina affect ukuaji wa mkopo tu ! hawalipishi faini.
yes unaweza lipa kwa pamoja na ukakopa papo hapo.
yes ila wanaongezaga 10000-20000Anhaaa hapo sawa
Ina maana kadri unavyokuwa muaminifu kwao ndivyo wanakuongezea kiasi cha mkopo zaidi
Ina maana baada ya muda utaweza kukopa hata laki 5+ si ndio?
Nashukuru sana kwa maelezo yakoyes ila wanaongezaga 10000-20000
Umefanikiwa kukopa?Nashukuru sana kwa maelezo yako
Hapana wala sija download hiyo ap nilikuwa nataka kujua inafanyaje kazi ili hata siku nikipata dharura niweze kukopaUmefanikiwa kukopa?
usijaliNashukuru sana kwa maelezo yako