Stock traders wa JF tuungane hapa

Tupeane tips za shares on what to buy what to sell and what to hold.

Na hapa nazungumzia sharws za ndani na za nje ya nchi

Let it begin...
What do you think about the coming Vodacom IPO, watu wanatengeneza quick money kama ilivyokuwa SWALA na DSE hapa juzi kati
 
Dah!! Mkuu usinikumbushe Ile ya DSE nili invest Mil 20 kene Primary market kwa kubreak kwenye Mil Tano Tano(nilifanya hvi kukwepa panga la kene prorata), bei ilikua sh 500 per share.
Kene secondary market the first week ikashoot hadi 1000, nikapata faida ya Mil 20, ukitoa brokage fee nkabaki na kama Mil 19 na kitu.
Nilivyo uza tu zikapanda tena hadi 1500,
Na Uanaume wangu nilitoa mchozi ckuile nlivyogundua. Yani kama ningebaki nazo nlikua napata faida ya mil 40.
Ila pia namshukuru mungu coz hio mil 19 nimeanzisha duka na kumalizia lodge yangu.
Money makes money, and the money that money makes...makes more money.
 
Dividends ulilipwa after how long?
 
Dividends ulilipwa after how long?
Mkuu ckulipwa dividends, mimi nilinunua kene Primary Market(wakati wa IPO) afu nikauza kene secondary Market.kilikua kipindi kama cha miezi minne tu toka kununua hadi kuuza.Dividends ni mpaka ukae nazo mwaka mzima.nadhan utakua umenielewa.
 
Dah!! Mkuu usinikumbushe Ile ya DSE nili invest Mil 20 kene Primary market kwa kubreak kwenye Mil Tano Tano(nilifanya hvi kukwepa panga la kene prorata), bei ilikua sh 500 per share.
Kene secondary market the first week ikashoot hadi 1000, nikapata faida ya Mil 20, ukitoa brokage fee nkabaki na kama Mil 19 na kitu.
Nilivyo uza tu zikapanda tena hadi 1500,
Na Uanaume wangu nilitoa mchozi ckuile nlivyogundua. Yani kama ningebaki nazo nlikua napata faida ya mil 40.
Ila pia namshukuru mungu coz hio mil 19 nimeanzisha duka na kumalizia lodge yangu.
Money makes money, and the money that money makes...makes more money.
Hiyo primary market ni kama wanavyouza vodacom hivi sasa?
 
Yeah boss, sema asahv uchumi uko hovyohovyo sana...kua makini na hzo hisa za vodacom, kule kenya SAFARI com ambao ni washirika wa vodacom walilist kule NSE(Nairobi Stock Exchange) bei ikashuka so ikala kwa watu.So kua makini.
 
Kwahiyo unanishauri vipi kuhusu hizo hisa za 850 za voda, ninunue kwa mtindo gani au nivunge
 
mkuu hawa voda wapo kweli au ni kama precision air walivoona wamefulia wakaja kutafuta mtaji kwa public?
 
K

Kuna risk afu kuna calculated risk..Take calculated risk.
Hizi za voda mauzo ni wiki sita, ndo kwanza ziko wiki ya kwanza.Kwasasahv siwezi nikakushauri ununue au usinununue coz bado ni mapema sana ndo kwanza zimeanza kuuzwa, nakuomba kua na subira nikumbushe ile wiki ya mwisho, nitakupa jibu kamili.wiki ya mwisho hua ndio wiki ya kufanya maamuzi.
 
Kaka kwanini financial statements za Vodacom hazipatikani public
 
Powa mkuu
 
Vodacom hawawezi kufulia na hawajafulia....
Ni mpango wa serikali kuitaka mitandao ya simu itoke kwenye ltd to plc(public limited company)
 
K

Kuna risk afu kuna calculated risk..Take calculated risk.
Hizi za voda mauzo ni wiki sita, ndo kwanza ziko wiki ya kwanza.Kwasasahv siwezi nikakushauri ununue au usinununue coz bado ni mapema sana ndo kwanza zimeanza kuuzwa, nakuomba kua na subira nikumbushe ile wiki ya mwisho, nitakupa jibu kamili.wiki ya mwisho hua ndio wiki ya kufanya maamuzi.
na mimi nasubiri mkuu ila mbona nasikia mwisho ni tarehe 19 kuuza hizo hisa
 
Kaka kwanini financial statements za Vodacom hazipatikani public
Zipo ndugu prospectus hiyo hapo tena ya kiswahili...nimeshajilipua tuhisa 2000 tu nione upepo utaendaje am sure zitapanda,jaribu aisi ili u succeed huna budi kubeba uncertainties
 
Attachments

  • vodacom_tanzania_ipo_prospectus_sw.pdf
    2.7 MB · Views: 189
Back
Top Bottom