Naomba kufahamu kuhusu biashara ya betting

rmvicentrm

Senior Member
Jan 8, 2016
147
26
Naomba maelezo ya kina kwa yeyote anaejua kuhusu hawa watu.
asante sana
tafadhali pakuwa kwanza kifungasho
 

Attachments

  • princessbet+Agent.pdf
    228.8 KB · Views: 178
Siamini hio kifungasho chako.. Wewe sio tapeli kweli au hacker Watoto WA siku hizi Wajanja wajanja Sana kama Gwajima
 
ngoja najitahidi natuma kwa mfumo wa picha pia kwa wale ambao device zao haziwezi supot pdf file
 
ngoja najitahidi natuma kwa mfumo wa picha pia kwa wale ambao device zao haziwezi supot pdf file
Screenshot_20170324-202753.png
Screenshot_20170324-202805.png
 
Back
Top Bottom