Msaada ya ununuaji wa bidhaa kupitia mtandao wa Amazon

Queen Horse

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
414
317
Salaam alaykum wapendwa.. naomba kwa yoyote ambae ana ujuzi wa kutumia amazon kama sehemu yake ya kununulia bidhaa kwa njia za mtandao anisaidie procedures zake na namna ya kufanya mzigo utakaonunua ukufikie muhusika..
 
Hapo kwenye bold kuna hoja mbili zinazojitokeza
1. Manunuzi amazon - Yeyote mwenye visa card au mastercard anaweza kufanya manunuzi
2. Usafirishaji wa bidhaa toka amazon kuja nchi za kiafrica - Kwa sehemu kubwa ya bidhaa za amazon hawatumi moja kwa moja kuja africa (Tanzania)

Hivyo Hizi Thread
Thread ya kwanza: www.v.ht/buy4me - Kuna machache ya kujifunza, Thread yenyewe inajieleza

Thread ya Pili : https://www.jamiiforums.com/threads...zi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.714290/

Angalizo
- Huduma zilizojadiliwa kwenye thread ya pili zina ghalama kubwa sana
- Mfano hai wa hizo ghalama angalia comment no. 341 hapa
 
Back
Top Bottom